T.I.D. "Mnyama" - Mrembo
00
Copied!
{Chorus: T.I.D.}
Nasema tena mrembo
Oh, oh
Nasema tena mrembo
(Wewe, wewe)
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(Wewe sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
(Mrembo)
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(Sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
{Verse 1}
Macho yako kama gololi
Pua zako za Mmaasai
Midomo yako minene, sina lakusema tena wewe
Popote niendako, chochote nifanyacho Nakuwaza wewe...
Mrembo, oh
{Chorus}
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
(Na-na-na, mrembo)
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
{Verse 2}
Popote niendako, chochote nifanyacho Nakusaka wewe...
Mrembo, oh
Miaka na (?) kwa hudi na ubani
Sikuoni wewe...
Mrembo, oh
{Chorus}
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
(Na-na-na, mrembo)
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
{Pre-Chorus}
Hawanitishi, tishi
(Gado)
Hawanibabaishi
(Ngangari)
Ile mipango vipi?
(Sema nao)
Tuliagana vipi?
(Gado)
Hawanitishi, tishi
(Ngangari)
Hawanibabaishi
(Gado)
Ile mipango vipi?
(Ooh, yeah)
Tuliagana vipi...?
(Ooh, yeah)
Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
Na-na-na
{Outro}
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
We sema nami, sasa hivi
(Mrembo)
Mrembo wangu niambie
(We niambie, nini unataka)
(Sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
(Nitakupa gari, nitakupa fedha)
Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(Nitakupa kila kitu mi nasema)
Au hunielewi, wewe mtoto vipi?
(Sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?...)
Nakuambia, tia akili
Kila kitu, kila kitu mimi nitakupa...
(Fades away)
{Chorus: T.I.D.}
Nasema tena mrembo
Oh, oh
Nasema tena mrembo
(Wewe, wewe)
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(Wewe sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
(Mrembo)
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(Sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
{Verse 1}
Macho yako kama gololi
Pua zako za Mmaasai
Midomo yako minene, sina lakusema tena wewe
Popote niendako, chochote nifanyacho Nakuwaza wewe...
Mrembo, oh
{Chorus}
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
(Na-na-na, mrembo)
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
{Verse 2}
Popote niendako, chochote nifanyacho Nakusaka wewe...
Mrembo, oh
Miaka na (?) kwa hudi na ubani
Sikuoni wewe...
Mrembo, oh
{Chorus}
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
(Na-na-na, mrembo)
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
{Pre-Chorus}
Hawanitishi, tishi
(Gado)
Hawanibabaishi
(Ngangari)
Ile mipango vipi?
(Sema nao)
Tuliagana vipi?
(Gado)
Hawanitishi, tishi
(Ngangari)
Hawanibabaishi
(Gado)
Ile mipango vipi?
(Ooh, yeah)
Tuliagana vipi...?
(Ooh, yeah)
Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
Na-na-na
{Outro}
Mrembo wangu niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
We sema nami, sasa hivi
(Mrembo)
Mrembo wangu niambie
(We niambie, nini unataka)
(Sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?)
(Nitakupa gari, nitakupa fedha)
Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(Nitakupa kila kitu mi nasema)
Au hunielewi, wewe mtoto vipi?
(Sema tu)
Pendo lako kwangu mimi (?...)
Nakuambia, tia akili
Kila kitu, kila kitu mimi nitakupa...
(Fades away)