avatar
Your name :

or login

Add Song
New comments

Fid Q - Mwanamalundi

 
0
Copied!

{Intro}
Yeah
Marco
Hivi unajua kwanini
Yaani, mi huwa inabidi tu ni rekodi track kali?
Ni kwasababu yaani hata kama ikatokea kwa bahati mbaya ikabuma kwenye media, yaani
Najua naongelea radio hapa na vitu kama hivyo
Yaani, mi binafsi nita-enjoy kuwa naiskiliza nikiwa nime-chill ghetto
Kwa sababu, yaani kuna washkaji zangu ambao mi ni wasanii yaani, umeelewa eh?
Nishaona wana rekodi track mbovu, yaani track ni mbovu
Kiasi kwamba hata wenyewe inawapa uvivu kuiskiliza yaani
...

(Mwanamalundi!)

{Verse 1}
Uh
Niite Ngosha Ze Don
Niite Mwanza, Mwanza
Love me 'or leave me alone
(?) kazi wanaposema, hukomi
Nami simuoni wakujitandaza juu ya kitanda hiki cha muziki
Gwiji utanishangaza
Wanakoshwa 'masikioni wanapo sikia hizi ladha
Nawachosha 'nnavyo hit redioni, nyomi najaza
Mashabiki 'zaidi ya milioni, hadi wa kusaza
Dar; T.M.K., Ilala, na Ndoni
Wanamjua Mwanza ambaye ame-base na Hip-Hop kama Saigon wa (Zavara ?)
Na inamlipa kama scratches na Bonny Love Jibaba, homie
Na keep up on top, Emcee slash hustler
Kwenye Hip naeka rap, kisha naiteka ki-mafia
Chapchap, non-stop hits, je we utabaki 'jinsi
Nnavyo zi-drop 'machizi, chicks wanafagia
Tamu kama lollipop, rhymes nnazo shusha
Situmi kalamu kichwani 'hapo hapo natungia
Natumia ufahamu (?) maisha kuwa shujaa
Naangalia angani naona amani, inaniambia dеreva nitabeba msalaba begani usukani nikiuachia

{Hook}
Niitе Ngosha Ze Don
Au
Mwanza, Mwanza
Au
Mwanamalundi
Mwanamalundi
Mwanamalundi
Mwanamalundi!

{Verse 2}
Kuna make-ups pia kuna mkorogo
Kuna haters na wale waliojisikia tu kuleta shobo
Kuna tofauti kati ya Emcee na C.E.O
Tambi na minyoo
Glass na kioo
Bafu na choo
Sikia 'ili usahau
Ona 'ili ujifunze
Fanya 'ili ukumbuke
Kama ulisahau ya jana
Wafurahishe walio karibu, walio mbali watasogea
Elewa 'kama mbwa, usijaribu hata kuongea
Unachokitaka haukipati, aliye kipata hakitumii
Hapo ndipo utapodata na masharti ya plan B
Mikakati ya kiusanii, na wakati wa bati na (?)
Sio lazima kipaji ili mradi mshkaji anahitaji kitu, atasukumaje siku?
Huyu mzugaji, mzenguaji, sio ishu 'kumpa huyu wakati Mungu ndio mpaji, unakosea hivyo
Wanatumia mbawa za bandia kurukia viporo
Nshapagawa, watoto sasa wanasaka chochoro
Hapa kahawa 'ni maji ya moto yenye rangi ya ugoro
Hatuwezi kuwa sawa
Mwendo 'kasoro zenye kasoro
Uhuru wa miguu, mikono
Akili imefungwa mnyororo
Utawadhuru sana huo usingizi wa pono tommorow
Hauna ushuru mdomo chunga ulimi usilete mgogoro
Ona 'bila farasi kidume hawezi kuitwa Polo

{Outro}
Niite Ngosha Ze Don
Au
Mwanza, Mwanza
Au
Mwanamalundi
Mwanamalundi
Mwanamalundi
Mwanamalundi!

SoundCloud:

edit soundcloud

YouTube:


More Fid Q lyrics

Fid Q

Fid Q

Song Description

Biography

Farid Kubanda (better known by his artistic name as Fid Q; Is a hip hop artist and Bongo Flava from Tanzania.

New Lyrics

Blister 66 - Virus | Lyrics
So i've got a sickness inside of me Something that i wish i didn't had to see
Blister 66 - Erase | Lyrics
Fuck you, cause i can see it and you never can take the blame Buried in your own guilt just
Emiway Bantai - Independent | Lirika (hi)
{Emiway Bantai "Independent" के बोल} {Part I}
Hate - F.U.N remix | Versuri
{Intro} Yeah, huh, huh, yeah, ye *Tuse* Mă duc în sus, mă duc în sus, huh,
Hate - U and i | Versuri
{Intro: Hate} Am un burn out, cred că iar mă-nvârt în cerc (Cerc, cerc) Ăsta e
Hate - Ur the moon | Versuri
{Refren} O să mai fii cu mine și când am succes Sau tot ce zic acum, huh, n-are
Gox - Bara ba | Lirika
{Gox} Ležim u krevetu, u jednu tačku gledam Kolko sjebao sam sebe Nisam
Dyme-A-Duzin - GO | Lyrics
{Hook: Devon Bell} Where did I go? (Oh, oh) I’m on my way to that show (Oh,
​​anti vanity. - If u need it | Lyrics
{Intro} Don't even know Made like 5 songs in one week Shits crazy